Msaidizi Wa Hesabu at Halmashauri ya Mji Bariadi
- Company: Halmashauri ya Mji Bariadi
- Location: Tanzania
- State: Simiyu Jobs
- Job type: Full-Time
- Job category: Graduates Jobs in Tanzania
Job Description
POST MSAIDIZI WA HESABU II – 1 POST
POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYER Halmashauri ya Mji Bariadi
APPLICATION TIMELINE: 2020-09-01 2020-09-14
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kuandika na kutunza register zinazohusu shughuli za uhasibu;
ii. Kuandika hati za malipo na hati za mapokezi ya fedha;
iii. Kutunza majalada yenye kumbukumbu za hesabu;
iv. Kupeleka barua /nyaraka za uhasibu Benki;
v. Kufanya usuluhisho wa masurufu,karadha,Hesabu za Benki na Amana; na
vi. Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Astashahada ya Uhasibu kutoka chuo kinachotambulika na Serikali au cheti cha ATEC level I kinachotolewa na NBAA, au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA.
REMUNERATION TGS B
Method of Application
Submit your CV and Application on Company Website : Click Here
Closing Date : 14th September, 2020.
Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE