Fundi Sanifu Daraja La Pili (Mechanical) at Ministry of Works, Transport and Communications
- Company: Ministry of Works, Transport and Communications
- Location: Tanzania
- State: Dodoma Jobs
- Job type: Full-Time
- Job category: Administrative/Secretarial Jobs in Tanzania
Job Description
POST FUNDI SANIFU DARAJA LA PILI (MECHANICAL) – 1 POST
POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Ministry of Works, Transport and Communications
APPLICATION TIMELINE: 2020-09-01 2020-09-14
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kufanya ukaguzi wa ubora wa magari ya Serikali na kurekebisha ipasavyo;
ii. Kufanya upimaji wa Mitambo na Umeme kufuatana na maelekezo ya Mhandisi;
iii. Kufanya matengenezo ya mifumo ya umeme;
iv. Kufanya kazi za kutengeneza mitambo,magari na vifaa vya umeme; na
v. Kufanya usanifu wa miradi midogo midogo ya umeme (kusimamia jinsi ya kufunga mashine mpya zinazowekwa kwenye karakana za Ufundi na Umeme.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne (IV) au sita (VI) na kufuzu mafunzo ya Ufundi ya miaka miwili/Stashahada katika fani ya Ufundi kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS C
Method of Application
Submit your CV and Application on Company Website : Click Here
Closing Date : 2nd October, 2020.
Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE