Fundi Sanifu Daraja La Ii (Kilimo) at Tanzania Agricultural Research Institute (TARI)
- Company: Tanzania Agricultural Research Institute (TARI)
- Location: Tanzania
- State: Arusha & Moshi Jobs
- Job type: Full-Time
- Job category: Engineering Jobs in Tanzania
Job Description
POST FUNDI SANIFU DARAJA LA II (KILIMO) – 1 POST
POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Tanzania Agricultural Research Institute (TARI)
APPLICATION TIMELINE: 2020-05-07 2020-05-21
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kutoa ushauri kwa wakulima kuhusu matumizi bora ya zana za kilimo kwa vitendo;
ii. Kuwafundisha wakulima kutengeneza na kufanya matengenezo ya zana za kilimo;
iii. Kuendeleza kilimo cha zana;
iv. Kukusanya na kutunza takwimu za zana za kilimo;
v. Kukusanya na kutunza takwimu za kilimo cha umwagiliaji;
vi. Kusaidia katika ujenzi wa mifereji ya umwagiliaji;
vii. Kushiriki katika savei kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji; pamoja na
viii. Kushiriki katika ujenzi wa malambo madogo.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha Sita (VI) waliofuzu mojawapo ya mafunzo yafuatayo: Mafunzo ya miaka miwili (2) ya stashahada (Diploma) ya ufundi sanifu wa vyombo vya kilimo (agro-mechanics) au ufundi sanifu Umwagiliaji maji.
REMUNERATION TGS C
Method of Application
Submit your CV and Application on Company Website : Click Here
Closing Date : 21st May, 2020.
Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE