Agricultural Research Officer x2 at Tanzania Agricultural Research Institute (TARI)
- Company: Tanzania Agricultural Research Institute (TARI)
- Location: Tanzania
- State: Arusha & Moshi Jobs
- Job type: Full-Time
- Job category: Agricultural Jobs in Tanzania
Job Description
POST AFISA UTAFITI KILIMO DARAJA LA II
POST CATEGORY(S) FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Tanzania Agricultural Research Institute (TARI)
APPLICATION TIMELINE: 2020-05-07 2020-05-21
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kusaidia kuandika na kukusanya ripoti za utafiti wa kilimo/uchumi kilimo chini ya maelekezo ya afisa utafiti mwandamizi,
ii. Kukusanya, kurekodi na kuchanganua takwimu za kazi za utafiti zinazoendelea,
iii. Kuhudhuria mikutano ya Kanda ya kuhuisha programu za utafiti,
iv. Kusaidia katika kuendesha semina na kuwaelekeza wakulima jinsi ya kutumia teknolojia mpya kwa kuzingatia hali ya uchumi na mazingira yao,
v. Kutoa ripoti ya maendeleo ya utafiti na mapendekezo ya utafiti katika mikutano ya kanda ya kuhuisha program za utafiti,
vi. Kufanya shughuli za utafiti chini ya maelekezo na uangalizi wa afisa utafiti mwandamizi,
vii. Kuandika mapendekezo ya utafiti chini ya uongozi wa afisa utafiti mwandamizi,
viii. Kuandika ripoti za miradi ya utafiti kwa ajili ya kupitishwa na afisa utafiti mwandamizi,
ix. Kufanya majaribio ya husishi ya kilimo ma mifugo katika mashamba ya wakulima kwa kushirikiana na Maafisa Ugani na wakulima wenyewe na
x. Kufanya kazi zozote kama atakavyoelekezwa na mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza (bachelor degree) ya Kilimo/Uchumi Kilimo/Uhandisi Kilimo au sifa inayolingana na hizo kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali. Waombaji wawe na ufaulu kwa kiwango cha daraja la pili la juu na kuendelea (GPA in upper second and above) katika shahada ya kwanza.
REMUNERATION TGS D
Method of Application
Submit your CV and Application on Company Website : Click Here
Closing Date : 21st May, 2020.
Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE