Afisa Mifugo Msaidizi Daraja x3 at Tanzania Livestock Research Institute(TALIRI)
- Company: Tanzania Livestock Research Institute(TALIRI)
- Location: Tanzania
- State: Dodoma Jobs
- Job type: Full-Time
- Job category: Agricultural Jobs in Tanzania
Job Description
POST AFISA MIFUGO MSAIDIZI DARAJA LA II – 3 POST
POST CATEGORY(S) FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Tanzania Livestock Research Institute(TALIRI)
APPLICATION TIMELINE: 2020-12-29 2021-01-11
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
Atafanya uchunguzi wa Magonjwa ya Mifugo kwa wafugaji wa eneo lake
kwa kushirikiana na wakaguzi wa Afya, atakagua nyama na usafi wa Machinjio mara kwa mara.
Atakusanya Tankwimu ya nyama na Mazao yatokanayo na Mifugo kama ngozi na kuandika ripoti.
Atatibu Magonjwa ya Mifugo chini ya usimamizi wa Daktari wa Mifugo na kushauri Wafugaji jinsi ya kukinga Mifugo dhidi ya Magonjwa.
Atatembelea Wafugaji mara kwa mara na kuwapa ushauri fasaha wa kitaalamu katika eneo lake la kazi.
Atakusanya Tankwimu zote za maendeleo ya Mifugo katika eneo lake.
Atashauri na kusimamia ujenzi wa Majosho, Machinjio, Vibanio na Miundo mbinu inayohusiana na ufugaji bora.
Atasimamia uchanganyaji dawa josho.
Atahusika na uhamilishaji na uzalishaji wa mifugo kwa ujumla.
Atashauri wafugaji kuhusu mbinu bora za kuzalisha Maziwa na utunzaji wa Ndama.
Atafanya kazi zingine za fani yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
kuajiriwa wahitimu kidato cha Sita (VI) waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya Mifugo kutoka chuo cha kilimo na Mifugo au chuo kingine chochote kinacho tambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS C
Method of Application
Submit your CV and Application on Company Website : Click HereClosing Date : 1st January, 2021.
Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE