Afisa Mazingira Daraja La at Halmashauri ya Jiji la Dodoma
- Company: Halmashauri ya Jiji la Dodoma
- Location: Tanzania
- State: Dodoma Jobs
- Job type: Full-Time
- Job category: Graduates Jobs in Tanzania
Job Description
POST AFISA MAZINGIRA DARAJA LA II – 1 POST
POST CATEGORY(S) HEALTHCARE AND PHARMACEUTICAL
RESEARCH,SCIENCE AND BIOTECH
EMPLOYER Halmashauri ya Jiji la Dodoma
APPLICATION TIMELINE: 2020-08-27 2020-09-10
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kutoa ushauri na kusimamia njia bora za usambazaji wa maji safi na
salama na utupaji wa taka;
ii. Kuelimisha jamii juu ya mbinu za kujikinga na kupambana na mlipuko wa
magonjwa;
iii. Kukusanya na kuchambua takwimu za Afya ya Mazingira;
iv. Kusimamia utekelezaji wa Sheria zinazohusu Afya ya Mazingira;
v. Kuandaa taarifa za utekelezaji na kuziwasilisha katika mamlaka husika;
vi. Kuandaa na kufuatilia mikakati ya kuboresha na kusimamia usalama na
afya kazini;
vii. Kuhakiki afya bandarini na mipakani;
viii. Kuratibu na kuhakiki kaguzi za vyakula, maji, kemikali, viwanda, sehemu za
kazi na maeneo ya jumuiya; na
ix. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusika
na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa mwenye Shahada ya Sayansi za Afya ya Mazingira na mafunzo kazini na kusajiliwa na Bodi ya Wataalamu wa Afya Mazingira.
REMUNERATION TGHS C.
Method of Application
Submit your CV and Application on Company Website : Click Here
Closing Date : 10th September, 2020.
Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE