Accounts Assistant x3 at Tanzania Agricultural Research Institute (TARI)
- Company: Tanzania Agricultural Research Institute (TARI)
- Location: Tanzania
- State: Arusha & Moshi Jobs
- Job type: Full-Time
- Job category: Accounting Jobs in Tanzania
Job Description
POST MSAIDIZI WA HESABU I (ACCOUNTS ASSISTANT) – 3 POST
POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYER Tanzania Agricultural Research Institute (TARI)
APPLICATION TIMELINE: 2020-05-07 2020-05-21
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kutunza daftari la fedha la matumizi ya kawaida na maendeleo;
ii. Kutunza nyaraka za hati za malipo;
iii. Kuingiza mapato na matumizi kwenye vitabu vya fedha;
iv. Kuandika taarifa mbalimbali za fedha zilizopokelewa; na
Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye stashahada ya Uhasibu kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali au Cheti cha ATEC II kinachotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA.
i.
REMUNERATION TGS C
Method of Application
Submit your CV and Application on Company Website : Click Here
Closing Date : 21st May, 2020.
Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE